iqna

IQNA

istanbul
TEHRAN (IQNA)- Sherehe za kukumbuka kuzaliwa Mtume Muhammad SAW maarufu kama Milad un Nabii au Maulidi zimefanyika Jumapili jioni katika misikitini mbali mbali ya mji mkubwa zaidi Uturuki, Istanbul.
Habari ID: 3474437    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/18

TEHRAN (IQNA)- Sinan, msanifu wa majengo maarufu alichora ramani ya Msikiti adhimu wa Süleymaniye kufuatia agizo la mmoja kati ya watawala wakuu katika zama za ufalme wa Othmaniya.
Habari ID: 3474063    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/02

TEHRAN (IQNA)- Ibada ya usiku wa Lailatul Raghaib imefanyika katika msikiti wa kihistoria wa Hagia Sophia mjini Istanbul, Uturuki.
Habari ID: 3473664    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/19

TEHRAN (IQNA)- Swala ya kwanza ya Ijumaa imeswaliwa katika Msikiti wa Hagia Sophia, Istanbul Uturuki baada ya zaidi ya miaka 86.
Habari ID: 3472995    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/24

Mahakama ya Kilele Uturuki
TEHRAN (IQNA) - Mahakama ya juu zaidi nchini Uturuki imefungua njia ya jumba la zamani la Hagia Sophia kugeuzwa kuwa msikiti na kubadilisha hadhi yake ya sasa kama jumba la makumbusho.
Habari ID: 3472949    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/11

Necip Fazıl Karadağ ni raia wa Uturuki ambaye ni mahiri katika kutegeneza tasbihi. Karakana yake ya kutegeneza tasbihi iko katika eneo la Istanbul la Başakşehir ambapo kuna kila aina ya tasbihi za kuvutia ambazo Waislamu huzitumia kumkumbuka Allah SWT.
Habari ID: 3470539    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/27

Sherehe za kufunga Mashindano ya 4 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Uturuki zimefanyika Ijumaa hii mjini Istanbul.
Habari ID: 3470394    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/18

Rais Hassan Rouhani
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa kuimarishwa uhusiano baina ya nchi za Kiislamu ni kati ya vipaumbele vya awali vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3470247    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/15