Habari Maalumu
IQNA-Operesheni ya pamoja ya kukabiliana na ugaidi kati ya Jamhuri ya Ireland na Ireland Kaskazini imefanikiwa kuzuia shambulio lililopangwa dhidi ya msikiti...
08 Nov 2025, 13:33
IQNA-Ayatullah Alireza Aarafi, Mkurugenzi wa Vyuo Vikuu vya Kiislamu (Hauzah) nchini Iran ametoa ujumbe mzito wa kulaani mauaji ya kikatili dhidi ya watu...
07 Nov 2025, 18:58
IQNA-Katika ripoti mpya iliyotolewa na taasisi ya utafiti ya Uswidi, imebainika kuwa idadi kubwa ya wanafunzi Waislamu wamekuwa wakihama shule kutokana...
07 Nov 2025, 19:18
IQNA – Takriban watu 54 wamejeruhiwa kufuatia mlipuko uliotokea katika msikiti ulioko ndani ya eneo la shule jijini Jakarta, mji mkuu wa Indonesia, siku...
07 Nov 2025, 19:15
IQNA – Nyumba ya Makumbusho ya Sanaa za Kiislamu mjini Jeddah, maarufu kwa jina la Dar al-Funun al-Islamiyyah, imeandaa maonesho ya hati adimu za Qur’ani...
07 Nov 2025, 18:32
IQNA – Mkutano wa 4 wa Kimataifa kuhusu Usanifu wa Misikiti wa mwaka 2025 uliofanyika mjini Istanbul, Uturuki, umesisitiza haja ya kufikiria upya nafasi...
07 Nov 2025, 18:24
IQNA-Katika kasri maarufu la Topkapi jijini Istanbul, utamaduni wa kale wa Kiislamu wa usomaji wa Qur'ani Tukufu umeendelea bila kukoma kwa karne...
06 Nov 2025, 21:13
IQNA-Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar nchini Misri kimezindua awamu ya kwanza ya mashindano ya kila mwaka ya kuhifadhi Qur'ani Tukufu, maarufu kama...
06 Nov 2025, 20:44
IQNA – Shorouk Marar ni mwanamke kutoka mji wa Beit Daqo, kaskazini-magharibi mwa al-Quds (Jerusalem) inayokaliwa kwa mabavu, ambaye ana kisa cha azma...
05 Nov 2025, 16:34
IQNA – Mwanazuoni mmoja amesema kuwa Bibi Fatima al-Zahra (AS) ndiye dhihirisho halisi la maana ya “Kawthar” kama ilivyoelezwa katika Qur’ani Tukufu, akimtaja...
05 Nov 2025, 16:13
IQNA – Amirhossein Landarani, kijana mchanga wa Iran anayesoma na kuhifadhi Qur'an, ambaye hivi karibuni alishinda nafasi ya kwanza katika kipengele...
05 Nov 2025, 16:07
IQNA-Zohran Mamdani mbunge Muislamu amechaguliwa kuwa Meya wa 111 wa jiji la New York, mtu wa kwanza mwenye asili ya Asia Kusini na wa kwanza aliyezaliwa...
05 Nov 2025, 12:09
IQNA – Chuo Kikuu cha Houston kilichopo jimbo la Texas, Marekani, kimetangaza kuwa kinachunguza tukio la kuvunjia heshima nakala ya Qur'an Tukufu...
05 Nov 2025, 16:00
Ushirikiano Katika Qur'ani/ 8
IQNA-Katika Uislamu, kuna kanuni inayoitwa ta’āwun , yaani kushirikiana katika mambo ya kheri. Waislamu wanapaswa kusaidiana katika mema, lakini wajiepushe...
04 Nov 2025, 21:15
IQNA – Mkuu wa Shirika la Utamaduni na Mahusiano ya Kiislamu na Mahusiano ya Kimataifa amesema kuwa taasisi hiyo inapanga kuanzisha Taasisi ya Kimataifa...
04 Nov 2025, 19:22
IQNA – Katika mji wa Mashhad, bendera ya kijani iliyokuwa juu ya kuba ya kaburi tukufu la Imam Ridha (AS) imeondolewa na kubadilishwa na bendera nyeusi,...
04 Nov 2025, 20:41