iqna

IQNA

bangaldesh
Wakimbizi
IQNA - Moto ulikumba kambi ya wakimbizi wa Rohingya iliyojaa watu huko Cox's Bazar, wilaya ya pwani ya kusini mwa Bangladesh, Jumamosi usiku, na kuharibu zaidi ya makao 1,000 na kuwalazimu maelfu ya wakimbizi kuyahama makazi yao, kulingana na afisa wa zima moto na Umoja wa Mataifa.
Habari ID: 3478161    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/07

Maelfu ya Wabangladesh wameandamana katika mji mkuu wa nchi hiyo kupinga njama za kutaka Uislamu usitambuliwe kuwa dini rasmi ya nchi hiyo.
Habari ID: 3470216    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/26