iqna

IQNA

shirika la habari
Bidhaa Halal
Tehran (IQNA)-Mauzo na matumizi ya bidhaa ‘Halal’, hasa vyakula na bidhaa za urembo, yanaongezeka nchini Msumbiji, kama ilivyo katika sehemu nyingine za dunia.
Habari ID: 3475388    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/17

Ibada ya Hija
TEHRAN (IQNA)- Mashirika ya kimataifa ya kutetea haki za binadamu yameishutumu Saudi Arabia kwa kuingiza siasa katika ibada ya Hija na kuwakandamiza wapinzani.
Habari ID: 3475387    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/17

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Jeshi katili la utawala haramu wa Israel limewaua shahidi vijana watatu wa Kipalestina katika mji wa Jenin, kaskazini mwa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
Habari ID: 3475386    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/17

Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ndiyo mashindano ya kimataifa ya Qur'ani yanayoaminika na yenye itibari zaidi duniani, afisa mmoja alisema.
Habari ID: 3475380    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/15

Mauaji ya Waislamu Bosnia
TEHRAN (IQNA) – Afisa wa polisi wa kijeshi wa zamani Mserbia wa Bosnia amekana mbele ya mahakama ya jimbo la Bosnia Jumanne kwa shtaka kwamba alitenda uhalifu dhidi ya ubinadamu katika kijiji cha Novoseoci mnamo Septemba 1992.
Habari ID: 3475379    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/15

Imam Ridha AS
TEHRAN (IQNA)- Waislamu nchini Tanzania wamepata fursa ya kuipokea kwa furaha bendera ya Imam Ridha AS ambayo ilikuwa katika msafara wa kimataifa wa kuadhimisha siku ya kuzaliwa mtukufu huyo.
Habari ID: 3475372    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/13

Haki za Watoto
TEHRAN (IQNA)- Tarehe12 Juni, kama ilivyo ada ya kila mwaka, jumuiya ya kimataifa inaungana na kusema hapana kwa ajira ya watoto. Licha ya kupungua kwa idadi ya watoto wanaofanya kazi katika miongo miwili iliyopita, maendeleo kuelekeza kutokomeza ajira kwa watoto yalitatizwa katika kipindi cha mwaka 2016 hadi 2020.
Habari ID: 3475371    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/13

Waislamu Italia
TEHRAN (IQNA) - Msikiti wa kwanza huko Venice, Italia, ulizinduliwa katika hafla iliyohudhuriwa na wawakilishi wa jamii ya Kiislamu ya Italia na taasisi za jiji.
Habari ID: 3475369    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/12

Kiongozi Muadhamu katika mkutano na Rais Maduro wa Venezuela
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema uzoefu wenye mafanikio wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Venezuela katika kupambana na vikwazo vya Marekani umedhihirisha wazi kuwa, mapambano au muqawama ndio njia pekee ya kuzima mashinikizo ya namna hiyo.
Habari ID: 3475366    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/12