Alifanya kisomo hiki wiki iliyopita, tarehe 29 mwezi Juni, katika mkusanyiko wa raia wa Misri na wapenzi wa Qur'ani Tukufu katika kijiji cha Tawfiqiyya katika mji wa Itai al Barud katika mkoa wa Bahira wa Misri, na akasoma Tafsiri za aya za Surati Baqarah.