Amesema mashindano hayo yanafanyika katika Maktaba ya Msikiti wa Saeed bin Othman bin Affan na kwamba yameandaliwa na Manispaa ya Al Rahmaniya kwa ushirikiano wa Taasisi ya Sharjah ya Qur’ani Tukufu na Sunna . Mashidano hayo ya siku tatu yanawashiriki 41.
Rupari amesema mashindano ya ‘Soma Qur’ani’ yanalenga kutambua vipaji vipya vya usomaji Qur’ani miongoni mwa vijana.
Huu ni mwaka wa pili wa mashindano hayo na washiriki wameongezeka kwa kiasi kikubwa.