Ni mara ya kwanza qiraa hii inasambazwa mitandanoni kwa ajili ya kuinua hali ya kiroho kwa waumini ulimwenguni. Fuatilia IQNA kila siku katika safari ya kusoma Qur'ani Tukufu wakati wa mwezi uliobarikiwa wa Ramadhani ili kukamilisha kusoma kitabu kitakatifu kufikia mwisho wa mwezi.