iqna

IQNA

wakristo
Ujumbe
IQNA-Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, kuwa, wale wote wanaodai kwamba ni wafuasi wa Nabii Issa Masih (as) hawapaswi kuiunga mkono Israel na mauaji yake dhidi ya watoto huko katika Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3478091    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/25

Maelewano ya kidini
ISLAMABAD (IQNA) - Msikiti katika mji wa Jaranwala, mkoa wa Punjab wa Pakistan, ulifungua mlango wake kwa Wakristo wanaohitaji mahali pa ibada.
Habari ID: 3477474    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/21

Uislamu na Ukristo
TEHRAN (IQNA) – Mazungumzo ya kidini kati ya Uislamu na Ukristo yanapangwa kufanyika nchini Zimbabwe wiki ijayo.
Habari ID: 3476584    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/19

Qur'ani Tukufu Inasemaje /22
TEHRAN (IQNA) – Baada ya tukio la Mubahala lililotokea kufuatia msisitizo wa Wakristo wa Najran juu ya wao kuwa kwenye haki, aya za Qur’an ziliteremshwa zinazotaka mazungumzo na kuzingatia mambo nukta za pamoja. Hii inaonyesha kwamba mtazamo wa Qur'an ambao unatilia mkazo mwingiliano na mazungumzo.
Habari ID: 3475540    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/25

Leo Jumapili tarehe 24 Dhul-Hijjah 1443 Hijiria inayosadifiana na tarehe 24 Julai 2022, ni siku muhimu ya Mubahalah katika historia ya Uislamu.
Habari ID: 3475536    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/24

TEHRAN (IQNA)- Mkuu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa amebainisha masikitiko yake juu ya mapigano makali ya hivi karibuni kati ya Waislamu na Wakristo wa Orthodox nchini Ethiopia, ambapo takriban watu 30 waliripotiwa kuuawa na wengine zaidi ya 100 kujeruhiwa.
Habari ID: 3475226    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/09

TEHRAN (IQNA)- Msomi mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Al Azhar amezitaja kuwa zisizo na msingi Fatwa za kupiga marufuku Waislamu kuwatumia Wakristo salamu za Krismasi.
Habari ID: 3474771    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/05

TEHRAN (IQNA)- Shekhe Mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha Al Azhar nchini Misri amesema chimbuko la dini za mbinguni ni moja na wanadamu wote wana udugu.
Habari ID: 3474770    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/05

TEHRAN (IQNA)- Wanakijiji Wakristo wanashirikiana na Waislamu katika kukarabati msikiti mmoja wa kale katika mkoa wa Al Minya nchini Misri.
Habari ID: 3474231    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/27

TEHRAN (IQNA)- Kiongozi wa Kiislamu nchini Iraq Ayatullah Sayyid Ali Sistani amekutana na Papa Francis, Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani ambapo katika mji mtakatifu wa Najaf, Iraq.
Habari ID: 3473707    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/06

TEHRAN (IQNA)- Viongozi wa kanisa wameshiriki katika ufunguzi wa msikiti katika mji wa El Mahalla nchini Misrikatika jimbo la Gharbia nchini Misri.
Habari ID: 3473689    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/28

TEHRAN (IQNA) -Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amewatumia ujumbe Wakristo wa Iran na duniani kwa ujumla akiwatakia kheri wakati wakisherehekea Krismasi.
Habari ID: 3473492    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/26

TEHRAN (IQNA) – Waktristo kote dunaini wanajitayarisha kwa ajili ya sherehe za Krismasi kote duniani huku janga la COVID-19 likiwa bado ni tatuzi kubwa.
Habari ID: 3473481    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/22

TEHRAN (IQNA) – Tokea mwaka 1975, Wakristo nchini Misri wamekuwa wakiwatayarishia Waislamu futari katika mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3472769    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/15

TEHRAN (IQNA) - Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewatumia ujumbe wa pongezi marais na viongozi na mataifa ya Wakristo kwa mnasaba wa kuanza mwaka mpya wa Miladia wa 2020.
Habari ID: 3472323    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/01

TEHRAN (IQNA)- Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewatumia ujumbe wa pongezi viongozi na mataifa ya Wakristo kwa munasaba wa kuanza mwaka mpya wa 2019 Miladia.
Habari ID: 3471793    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/01

Dar al-Ifta ya Misri
TEHRAN (IQNA)- Huku Wakristo wakikaribia kusherehekea uzawa wa Nabii Isa AS (Yesu) katika siku ya Krisimasi na pia mwaka mpya Miladia, Taasisi ya Dar al-Ifta ya Misri imesema inajuzu au ni sawa kwa Waislamu kuwapongeza wasiokuwa Waislamu kwa munasaba wa siku kuu zao na kwamba hilo ni kwa mujibu wa mafundisho ya dini tukufu ya Kiislamu.
Habari ID: 3471773    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/12/16

TEHRAN (IQNA)-Haafidh wa Qur'ani tukufu kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amesema Wakongomani wana hamu na shauku kubwa ya kujifunza Uislamu kiasi kwamba Wakristo wa nchi hiyo wanawapeleka watoto wao madrasa ili wakasomeshwe Qur'ani.
Habari ID: 3470955    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/28

TEHRAN (IQNA)- Watu wa Misri wanamuenzi afisa wa polisi mwanamke Mwislamu ambaye alipoteza maisha yake akijijaribu kumzuia gaidi wa kundi la ISIS kuingia katika kanisa la Kikhufti (Coptic) mjini Alexandria.
Habari ID: 3470933    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/13

TEHRAN (IQNA) Kundi la kigaidi la ISIS limetekeleza hujuma za mabomu dhidi ya makanisa mawili ya Kikhufti (Coptic) katika miji ya Tanta na Alexandria Misri na kuua Wakristo wasiopungua 47.
Habari ID: 3470926    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/09