iqna

IQNA

kale
Turathi za Kiislamu
IQNA – Msahafu wa kipekee wa zama za Uthmaniyya umeuzwa katika katika mnada wa turathi za Kiislamu jijini London, Uingereza.
Habari ID: 3478742    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/27

Turathi za Kiislamu
IQNA – Msahafu wa kipekee wa enzi za Uthmaniyya ni miongoni mwa bidhaa za sanaa za Kiislamu zitakazopigwa mnada Sotheby's London wiki hii.
Habari ID: 3478726    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/24

Turathi
IQNA - Hujaji wa Nigeria na mwanafunzi amekabidhi nakala iliyoandikwa kwa mkono ya Qur'ani Tukufu katika hati ya Maghribi kwa Maktaba Kuu ya Haram ya Imam Ridha (AS).
Habari ID: 3478677    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/13

Utamaduni
IQNA - Maktaba ya Umma ya Mfalme Abdulaziz mjini Riyadh imezindua maonyesho yenye nakala 42 za Qur'ani 42 ambazo kila moja imeandikwa kwa kaligrafia ya Kiislamu na mapambo ya aina yake.
Habari ID: 3478529    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/17

Jinai za Israel
IQNA - Zaidi ya maeneo 200 ya kiakiolojia na ya kale katika Ukanda wa Gaza yameharibiwa na uvamizi wa kijeshi wa Israel tangu Oktoba 7, kulingana na mamlaka huko Gaza.
Habari ID: 3478117    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/31

Turathi ya Kiislamu
IQNA - Profesa wa jiografia wa Misri ana nakala ndogo sana ya Qur’ani Tukufu (Msahafu) ambayo ni ya miaka 280 iliyopita.
Habari ID: 3478074    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/22

Wanazuoni Mashuhuri wa Ulimwengu wa Kiislamu/36
TEHRAN (IQNA) – Ni jambo linalokubalika miongoni mwa Waislamu na wanazuoni wengi wasio Waislamu yaliyomo katika Qur’ani Tukufu hayajabadilika tangu ilipoteremshwa kwa Mtukufu Mtume (SAW).
Habari ID: 3477949    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/26

Turathi
LONDON (IQNA) – Mnada wa Christie umeondoka nakala ya maandishi ya Qur'ani Tukufu kwenye mnada wake baada ya baadhi ya wanaharakati kusema ni sehemu ya Msahafu ulioibwa kutoka kwenye jumba la makumbusho la Iran.
Habari ID: 3477808    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/29

Turathi ya Kiislamu
Urejeshaji wa Msahafu (Qur'ani Tukufu) ulioandikwa miaka 500 iliyopita hivi karibuni umekamilika eneo la China laTaiwan .
Habari ID: 3477116    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/07

Turathi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Kuna msikiti kaskazini-magharibi mwa Uchina ambao una nakala ya kale zaidi ya Qur'ani katika nchi hiyo ya Asia Mashariki.
Habari ID: 3475650    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/20

Nakala za Qur'ani zilizoandikwa kwa mkono karne saba zilizopita zimeanza kuonyesha katika Taasisi ya Smithsonian, mjini Washington nchini Marekani.
Habari ID: 3470626    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/22

Madrassah ya kufundishia Qur’an yenye umri wa zaidi ya karne nchini Uganda, itazamiwa kukarabatiwa upya hivi karibuni ili kuendelea kutumika kwa ajili ya kutoa mafunzo sahihi ya dini ya Kiislamu.
Habari ID: 3353009    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/26

Nakala ambayo yumkini ikawa miongoni mwa nakala za zamani zaidi za kitabu kitakatifu cha Qur’ani Tukufu imegundulwia nchini Uingereza.
Habari ID: 3332252    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/22