iqna

IQNA

Amir-Abdollahian
Mapambano ya Wapalestina
IQNA - Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu (Muqawama) ya Palestina, Hamas, Ismail Haniya amesisitiza uthabiti na azma la harakati hiyo katika kuendeleza mapambano ya kupigania ukombozi wa Palestina.
Habari ID: 3478066    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/20

Diplomasia ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza utayarifu kamili wa muqawama katika nyanja mbalimbali na kuutaja ushindi wa mwisho wa muqawama na kushindwa adui Mzayuni kkwamba, ni hakika na jambo lisilo la shaka.
Habari ID: 3477936    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/24

Diplomasia
TEHRAN (IQNA)- Katika kikao na Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesisitiza nafasi ya Shahidi Jenerali Soleimani katika kuimarisha usalama wa eneo hili mbele ya Uzayuni na ugaidi.
Habari ID: 3477532    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/01

Hossein Amir-Abdollahian
TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haiutambua mfumo wa serikali unaoongoza hivi sasa nchini Afghanistan.
Habari ID: 3477050    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/26

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian
TEHRAN (IQNA)- Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesisitiza azma yake katika kadhia ya Palestina na kusema itaendelea kuwaunga mkono wanamapambano wa Palestina katika kukabiliana na vitendo vya kichokozi vya utawala wa Kizayuni.
Habari ID: 3476906    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/24

Uhusiano wa nchi za Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Saudi Arabia wamekutana Alhamisi katika mji mkuu wa China Beijing na kukubaliana kufunguliwa ofisi za uwakilishi wa nchi mbili na kusisitiza utayari wao wa kuondoa vizuizi vinavyokwamisha kupanuliwa mashirikiano baina ya Tehran na Riyadh.
Habari ID: 3476824    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/07

Sera za Kigeni Iran
TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ametangaza kuwa, atakutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia mnamo siku chache zijazo na akasema: "tulikubaliana kuwa jumbe za kiufundi za pande zote mbili zitembelee balozi na balozi ndogo na kufanya maandalizi ya kivitendo ya kufunguliwa tena balozi hizo."
Habari ID: 3476727    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/19

Umoja wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA)-Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria majaribio ya maadui ya kutaka kuleta mgawanyiko baina ya Waislamu na kuwasilisha taswira potovu ya kuuonyesha Uislamu kuwa ni dini ya ghasia na mapigano na kusema kuna haja ya kutilia mkazo juu ya umoja wa makundi ya Kiislamu na juhudi za kuutambulisha Uislamu wa kweli.
Habari ID: 3475724    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/03

Mgogoro wa Iraq
TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza haja ya kuhifadhiwa umoja wa kitaifa wa Iraq, akisema matatizo ya nchi hiyo yanapaswa kutatuliwa kwa njia za kisheria.
Habari ID: 3475702    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/30

Iran na Afrika
TEHRAN(IQNA)-Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran aliyeko ziarani nchini Tanzania amesema kuwa, bara la Afrika ni moja ya vipaumbele vikuu vya diplomasia ya kiuchumi ya Iran.
Habari ID: 3475680    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/25

Iran na Afrika
TEHRAN (IQNA)- Mjukuu wa rais wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson Mandela amesema Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yanatoa ilhamu na motisha kwa taifa hilo la kusini mwa Afrika.
Habari ID: 3475576    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/04

TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, Iran na Saudi Arabia ni nchi muhimu katika eneo na Ulimwengu wa Kiislamu na akaeleza kwamba ana matumaini ushirikiano baina ya nchi hizo mbili utasaidia kutatua matatizo ya eneo na ya Ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3474889    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/04