iqna

IQNA

wapalestina
TEHRAN (IQNA) – Hafla imefanyika katika mji wa Khan Yunis katika eneo la Palestina la Ukanda wa Ghaza kwa lengo la kuwaenzi wanafunzi waliohifadhi Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3474321    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/21

TEHRAN (IQNA)- Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imepongeza kitendo cha kishujaa cha Wapalestina sita ambapo walitoroka jela lenye ulinzi mkali la utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3474270    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/07

TEHRAN (IQNA)- Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, amesema kuwa, hatua ya mateka 6 wa Kipalestina ya kutoka kwenye jela ya utawala wa Kizayuni licha ya kuweko ulinzi mkali, ni ya kishujaa.
Habari ID: 3474266    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/06

TEHRAN (IQNA)- Wapalestina zaidi ya 45,000 wamehudhuria Sala ya Ijumaa ya jana kwenye msikiti mtukufu wa Al Aqsa katika mji mtakatifu wa Quds (Jerusalem) pamoja na kuwepo vizingiti vingi vilivyowekwa na utawala haramu wa Israel unaokalia mji huo kwa mabavu.
Habari ID: 3474255    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/04

TEHRAN (IQNA)- Maelfu ya waumini Wapalestina waslihisiri katika Sala ya Idul Adha iliyosaliwa katika Msikiti wa Al Aqsa mjini Quds (Jerusalem) baada ya hujuma za siku kadhaa za Wazayuni dhidi ya Msikiti huo.
Habari ID: 3474117    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/22

TEHRAN (IQNA) – Ofisi ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei imewatumia barua Wapalestina wanaoishi katika kambi za wakimbizi nchini Syria na kuwashukuru kwa jumbe za pongezi kufuatia ushindi katika vita vya Ghaza.
Habari ID: 3474095    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/12

TEHRAN (IQNA)- Wazayuni wenye misimamo mikali wameuhujumu tena Msikiti wa al Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem) leo Jumatatu wakiwa chini ya himaya ya wanajeshi wa utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3474051    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/28

TEHRAN (IQNA)- Kijana Mpalestina ameuawa shahidi Ijumaa baada ya wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel kuwatawanya waandamanaji waliokuwa wamejitokeza katika maandamano ya amani kupinga ujenzi wa vitongoji haramu vya walowezi wa Kizayuni.
Habari ID: 3473998    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/12

TEHRAN (IQNA)- Sheikh Mkuu wa Chuo cha Kiislamu cha Al Azhar nchini Misri ametuma ujumbe kwa lugha 15 akitaka dunia iwaunge mkono Wapalestina wanaokandamizwa na utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3473916    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/16

TEHRAN (IQNA) - Ndege za kivita za utawala haramu wa Kizayuni leo asubuhi zimeshambulia ngome za harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) katika Ukanda wa Ghaza.
Habari ID: 3473080    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/18

Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza wametangaza kufungmana na wananchi wa Lebanon katika hasa jamaa za wale walipoteza maisha katika mlipuko wa Jumanne iliyopita mjini Beirut.
Habari ID: 3473051    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/10

TEHRAN (IQNA) - Tarehe 29 Novemba iliadhimishwa kote duniani kama Siku ya Kimataifa ya Kuonesha Mshikamano na Taifa la Palestina
Habari ID: 3472246    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/01

TEHRAN (IQNA)- Utawala wa Kizayuni wa Israel umelaaniwa vikali kwa kupitisha sheria mpya ya kibaguzi ambayo inatambua Mayahudi kama bora kuliko Waarabu katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala huo.
Habari ID: 3471601    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/20

TEHRAN (IQNA)-Jeshi la utawala wa Israel limetumia mabuldoza kubomoa nyumba za Wapalestina katika kijiji kimoja kilichoko Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan kusini mashariki mwa mji wa Al-Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na utawala huo wa Israel.
Habari ID: 3471182    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/19

IQNA-Mtandao wa kijamii wa Facebook unalaumiwa kwa kufuta akaunti za wanaharakati na waandishi habari wanaopinga utawala haramu wa Israel na kutetea ukombozi wa Palestina.
Habari ID: 3470636    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/26

Mbunge wa chama cha upinzani cha Leba Uingereza, Bi. Jo Cox na ambaye alikuwa muungaji mkono Wapalestina amepigwa risasi na kuuawa.
Habari ID: 3470393    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/17

Mamia ya Wapalestina wameandamana katika Ukanda wa Ghaza kulaani mzingiro wa kibaguzi wa takriban mwongo mmoja uliowekwa na Utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya eneo hilo.
Habari ID: 3470303    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/09

Jumapili ya jana msikiti mtakatifu wa al-Aqsa kwa mara nyingine tena ulivamiwa na Wazayuni waliojumuisha wanajeshi, polisi na Wazayuni wenye misimamo ya kufurutu ada ambapo damu za makumi ya Wapalestina zilimwagwa kiholela katika tukio hilo.
Habari ID: 3362433    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/14

Watoto 93 Wapalestina hivi sasa wanashikiliwa katika Jela ya kuogofya ya Ofer ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3312263    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/08

Wakimbizi Wapalestina walio katika nchi mbali mbali duniani wanakabiliwa na matatizo makubwa sana. Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) limetoa onyo kuhusu hali mbaya sana ya wakimbizi Wapalestina.
Habari ID: 3023920    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/03/22