IQNA

Mandhari ya Msimu wa Vuli Katika Misitu ya Kaskazini mwa Iran

Mandhari ya Msimu wa Vuli Katika Misitu ya Kaskazini mwa Iran

IQNA – Katikati ya misitu yenye rangi elfu moja ya Dalkhani, katika jimbo la Mazandaran kaskazini mwa Iran, msimu wa vuli hujidhihirisha kwa sura yake ya kupendeza zaidi. Katika msimu huu, miti hubadilika na kuvaa rangi zenye kuvutia na majani yake huanguka na kutandaza ardhi kama zulia lenye rangi angavu na maridadi.
15:17 , 2025 Nov 26
Qari Abdul Basit Akumbukwa Katika Kipindi cha Qur’ani Nchini Misri

Qari Abdul Basit Akumbukwa Katika Kipindi cha Qur’ani Nchini Misri

IQNA – Marehemu Abdul Basit Abdul Samad, msomaji maarufu wa Qur’ani kutoka Misri na ulimwengu wa Kiislamu, ameheshimiwa katika kipindi cha televisheni cha Dawlet El Telawa nchini Misri
15:13 , 2025 Nov 26
Qari wa Iran Atarajia Ushindani Mkali katika Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Pakistan

Qari wa Iran Atarajia Ushindani Mkali katika Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Pakistan

IQNA – Mwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika mashindano ya kwanza ya kimataifa ya Qur’ani nchini Pakistan amesema anatarajia ushindani mkali katika mashindano hayo.
15:07 , 2025 Nov 26
Al-Kawthar Yatangaza Usajili wa Mashindano ya 19 ya Kimataifa ya Qur’ani “Mafaza”

Al-Kawthar Yatangaza Usajili wa Mashindano ya 19 ya Kimataifa ya Qur’ani “Mafaza”

IQNA – Televisheni ya Al-Kawthar imeanza maandalizi ya kuandaa toleo jipya la mashindano yake ya Qur’ani Tukufu yanayorushwa moja kwa moja yanayo julikana kama , “Inna lil-Muttaqeena Mafaza” (Hakika wachamungu watapata mafanikio).
14:59 , 2025 Nov 26
Mahmoud Al-Toukhi aikabidhi Idhaa ya Qur’ani Kuwait Tarteel yake

Mahmoud Al-Toukhi aikabidhi Idhaa ya Qur’ani Kuwait Tarteel yake

IQNA-Mahmoud Al-Toukhi, msomaji mashuhuri wa Qur’ani kutoka Misri, ametoa nakala ya usomaji wake wa Tarteel kwa Idhaa ya Qur’ani ya Kuwait.
14:51 , 2025 Nov 26
Watazamaji zaidi ya milioni 168 wa kipindi cha Qur'ani cha  “Dawlet El Telawa”  Misri

Watazamaji zaidi ya milioni 168 wa kipindi cha Qur'ani cha “Dawlet El Telawa” Misri

IQNA – Kipindi cha televisheni cha Qur’ani Tukufu nchini Misri, “Dawlet El Telawa”, kimepata mafanikio makubwa baada ya kurushwa sehemu nne pekee.
14:42 , 2025 Nov 26
Mazishi ya Kamanda Mwandamizi wa Hizbullah yafanyika Lebanon

Mazishi ya Kamanda Mwandamizi wa Hizbullah yafanyika Lebanon

IQNA –Mazishi ya Shahidi Haytham Ali Tabatabai, kamanda mwandamizi wa Hizbullah, pamoja na wapiganaji wengine wa muqawama waliouawa, yamefanyika Jumatatu katika kitongoji cha Beirut.
11:03 , 2025 Nov 25
Islamabad yaandaa Mashindano ya Kwanza ya Kimataifa ya Qur'ani Nchini Pakistan

Islamabad yaandaa Mashindano ya Kwanza ya Kimataifa ya Qur'ani Nchini Pakistan

IQNA – Mashindano ya kwanza ya kimataifa ya usomaji wa Qur'ani nchini Pakistan yameanza rasmi Jumatatu katika mji mkuu wa Islamabad.
10:56 , 2025 Nov 25
“Ubaguzi wa Wazi”: Taharuki Katika Seneti ya Australia Baada ya Mbunge wa Mrengo Mkali Kuvaa Burka

“Ubaguzi wa Wazi”: Taharuki Katika Seneti ya Australia Baada ya Mbunge wa Mrengo Mkali Kuvaa Burka

IQNA – Seneta mwenye msimamo mkali wa mrengo wa kulia nchini Australia, Pauline Hanson, ameibua hasira kali Jumatatu baada ya kuingia bungeni akiwa amevaa vazi la Waislamu la burka, kama sehemu ya juhudi zake za mara kwa mara za kutaka vazi hilo lipigwe marufuku kwa sababu eti wanaovaa hufunika uso wote hadharani.
10:49 , 2025 Nov 25
Waislamu Ufaransa walalamikia IFOP kwa upendeleo na ukiukaji wa maadili

Waislamu Ufaransa walalamikia IFOP kwa upendeleo na ukiukaji wa maadili

IQNA – Mashirika kadhaa ya Kiislamu nchini Ufaransa yamekosoa taasisi ya utafiti wa maoni ya wananchi, IFOP, kwa kile walichokiita upendeleo wa wazi na kuvunja viwango vya maadili ya kitaaluma.
10:40 , 2025 Nov 25
Khuzestan ya Iran na Basra ya Iraq Kuimarisha Ushirikiano Katika Masuala ya Qur'ani

Khuzestan ya Iran na Basra ya Iraq Kuimarisha Ushirikiano Katika Masuala ya Qur'ani

IQNA – Jumamosi iliyopita, kikao cha kuandaa hati ya makubaliano ya ushirikiano katika shughuli za Qur'ani Tukufu kati ya Mkoa wa Khuzestan nchini Iran na Mkoa wa Basra nchini Iraq kimefanyika mjini Basra.
10:37 , 2025 Nov 25
Maonyesho ya Pili ya Sanaa ya Qur’an kwa Teknolojia ya AI Yafunguliwa Tehran

Maonyesho ya Pili ya Sanaa ya Qur’an kwa Teknolojia ya AI Yafunguliwa Tehran

IQNA – Maonyesho ya pili ya kazi za Qur’ani Tukufu zilizotengenezwa kwa teknolojia ya Akili Mnemba (AI) yamezinduliwa mjini Tehran, yakionyesha kazi 100 zilizochaguliwa kutoka kwa vijana na chipukizi.
14:37 , 2025 Nov 23
Vikundi vya Usomaji Qur’an Katika Misikiti ya Misri Vimepokelewa Vyema

Vikundi vya Usomaji Qur’an Katika Misikiti ya Misri Vimepokelewa Vyema

IQNA – Vikundi vya usomaji Qur’an katika misikiti ya Mkoa wa Kaskazini mwa Sinai, Misri, vimepokelewa kwa shangwe na raia wa Kimasri.
14:30 , 2025 Nov 23
Korea Kusini Yafungua Jumba la Kwanza la Sanaa ya Kiislamu la Kudumu Seoul

Korea Kusini Yafungua Jumba la Kwanza la Sanaa ya Kiislamu la Kudumu Seoul

IQNA – Korea Kusini imezindua jumba lake la kwanza la kudumu la sanaa ya Kiislamu katika Makumbusho ya Taifa ya Korea mjini Seoul.
14:19 , 2025 Nov 23
Mwandishi wa Morocco asema hadhi ya Bibi Fatima (AS) ‘Yazidi Wanawake Wote wa Nyakati Zote’

Mwandishi wa Morocco asema hadhi ya Bibi Fatima (AS) ‘Yazidi Wanawake Wote wa Nyakati Zote’

IQNA – Mwandishi wa Morocco amesema kuwa hadhi ya kipekee ya Bibi Fatima (AS) inatokana na sifa za kiroho ambazo, kwa hoja zake, zinamweka binti wa Mtume Muhammad (SAW) juu ya wanawake wote katika historia.
14:05 , 2025 Nov 23
10