iqna

IQNA

waislam
Wageni walioshiriki katika Kongamano la 37 la Kimataifa la Umoja wa Kiislamu walitoa heshima zao kwa Imam Khomeini (R.A.) kwa kuhudhuria haram ya mwasisi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
Habari ID: 3477685    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/02

Kwa mujibu wa Iqna, likinukuu gazeti la US Today, Waislamu wana historia ndefu nchini Marekani, wakianzia utumwani, inaonekana kuwa dini hii ya waislam u mara nyingi inatambulishwa na Waamerika Waarabu katika nchi hii, ukweli ni kwamba Weusi na Waasia ni sehemu kubwa ya jamii hii.
Habari ID: 3477158    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/18

Waislamu Australia
Baraza la Jiji la Wagga Wagga katika eneo l New South Wales Riverina nchini Australia limetoa idhini kwa jamii ya Waislamu kujenga msikiti wao wa kwanza ambao utajumuisha ukumbi wa maombi wenye uwezo wa kuchukua watu 100.
Habari ID: 3477124    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/09

TEHRAN (IQNA)- Wanawake Waislamu nchini Uganda wamemuandikia barua spika wa bunge la nchi hiyo, Bi Rebecca Kadaga wakitaka mabadiliko katika sharia ili kuwaruhusia wanawake Waislamu wavae Hijabu wakati wanapopigwa picha za vitambulisho.
Habari ID: 3473282    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/21

TEHRAN (IQNA) - Serikali ya Austria inatayarisha mpango wenye utata wa kuwaweka Waislamu wan chi hiyo chini ya uchunguzi mkali kwa lengo la kukabiliana na kile wanachodai ni ‘Uislamu wa Kisiasa.’
Habari ID: 3472985    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/21

TEHRAN (IQNA)- Kumeshuhudiwa ongezeko la asilimia 82 la chuki dhidi ya Waislamu katika jimbo la California nchini Marekani katika mwaka wa 2017 kufuatia kuchaguliwa Donald Trump kama rais.
Habari ID: 3471624    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/10

Kamanda wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)-Kamanda wa Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) Meja Jenerali Mohammad Ali Jafari amesema mafanikio ya Iran ya Kiislamu yametokana na taifa hili kuzingatia na kushikamana na mafundisho ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3471415    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/04

Msikiti wa Jamia Paris
TEHRAN (IQNA)-Msikiti wa Jamia wa mjini Paris umekaribisha ushindi wa Emmanuel Macron kama rais wa Ufaransa.
Habari ID: 3470972    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/08