IQNA

Tafsiri mpya ya Qur'ani Tukufu yazinduliwa katika ofisi za IQNA

TEHRAN (IQNA)- Tafsiri mpya ya Qur'ani inayojulikana kama 'Tafsiri ya Shams' imezinduliwa katika ofisi za Shirika la Habari za Qur'ani la Kimataifa (IQNA)...
Dar al-Ifta ya Misri

Inajuzu Waislamu kuwapongeza Wakristo katika Siku Kuu ya Krismasi

TEHRAN (IQNA)- Huku Wakristo wakikaribia kusherehekea uzawa wa Nabii Isa AS (Yesu) katika siku ya Krisimasi na pia mwaka mpya Miladia, Taasisi ya Dar al-Ifta...

Washindi wa Mashindano ya Qur'ani Tunisia Watangazwa

TEHRAN (IQNA) – Washindi wa Mashindano ya 16 ya Kimataifa ya Qur'ani nchini Tunisia wametangazwa na kutunukiwa zawadi zao.

Msichana aliyesilimu Marekani atimuliwa chuoni kwa kuvaa Hijabu

TEHRAN (IQNA)- Bi. Linde McAvoy, alisilimu na kuukumbatia Uislamu maishani wiki chache baada ya kujiunga na Chuo cha Georgia Career Institute Conyers (GCI)...
Habari Maalumu
Uislamu ni dini pekee inayolinda haki zote za binadamu

Uislamu ni dini pekee inayolinda haki zote za binadamu

TEHRAN (IQNA)- Washiriki wa warsha iliyofanyika hivi karibuni nchini Pakistan wamesema Uislamu ni dini pekee ambayo imeangazia kila kipengee cha maisha...
11 Dec 2018, 15:19
Maadui wa Iran wafeli katika njama ya
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu

Maadui wa Iran wafeli katika njama ya "Majira ya Joto Kali", taifa litasimama kidete

TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, maadui wamefeli katika njama ya maadui wa Iran ya kuwachoche baadhi ya watu kufanya...
13 Dec 2018, 10:59
Mauaji Ndani ya Msikiti Afrika Kusini

Mauaji Ndani ya Msikiti Afrika Kusini

TEHRAN (IQNA)- Mtu mmoja amepigwa risasi na kuuawa nje ya msikiti katika mtaa wa Springs, mji wa Ekurhuleni eneo la East Rand mkoani Gauteng Afrika Kusini.
08 Dec 2018, 14:03
Wiki ya Kitaifa ya Qur'ani nchini Algeria

Wiki ya Kitaifa ya Qur'ani nchini Algeria

TEHRAN (IQNA)- Awamu ya 20 ya Wiki ya Qur'ani Tukufu nchini Algeria imefanyika huku kukitolewa wito wa kuhakikisha watoto wanajifunza Qur'ani.
07 Dec 2018, 11:00
Baraza la Haki za Binadamu UN lataka mauaji ya Khashoggi yachunguzwe

Baraza la Haki za Binadamu UN lataka mauaji ya Khashoggi yachunguzwe

TEHRAN (IQNA)- Kamishna MKuu wa Haki za Binadamu katika Umoja wa Mataifa Michelle Bachelet ametoa wito wa kufanyika uchunguzi wa kimataifa kubaini mhusika...
05 Dec 2018, 16:25
Mtoto wa miaka 7 Uingereza amehifadhi Qur'ani kikamilifu

Mtoto wa miaka 7 Uingereza amehifadhi Qur'ani kikamilifu

TEHRAN (IQNA)- Mtoto wa miaka 7 kutoka mji wa Luton nchini Uingereza amehifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu ikiwa ni katika kufuata nyayo za dada yake ambaye...
04 Dec 2018, 10:47
Kongamano kuhusu changamoto za tarjuma ya Qur'ani lafanyika Morocco

Kongamano kuhusu changamoto za tarjuma ya Qur'ani lafanyika Morocco

TEHRAN (IQNA)-Kongamano la kimataifa kuhusu changamoto katika kazi ya tarjuma ya Qur'ani limefanyika Casablanca, Morocco hivi karibuni.
02 Dec 2018, 11:19
CNN yamtimua mchambuzi wake ambaye ameunga mkono haki za Wapalestina

CNN yamtimua mchambuzi wake ambaye ameunga mkono haki za Wapalestina

TEHRAN (IQNA) Kanali yaTelevisheni ya CNN ya Marekani imemfuta kazi mchambuzi wake wa muda mrefu kwa sababu ya kukosoa ukatili na udhalimu wa utawala haramu...
01 Dec 2018, 11:31
Waislamu ni sehemu ya jamii ya Ujerumani
Waziri wa Mambo ya Ndani

Waislamu ni sehemu ya jamii ya Ujerumani

TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Horst Seehofer amesema Waislamu ni sehemu ya jamii ya Ujerumani.
30 Nov 2018, 10:52
Picha