iqna

IQNA

mtoto
Jinai Marekani
VERMONT (IQNA) - Polisi wa Jimbo la Vermont waliripoti Jumapili kwamba vijana watatu wa Kipalestina walipigwa risasi na kujeruhiwa karibu na Chuo Kikuu cha Vermont.
Habari ID: 3477954    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/27

TEHRAN (IQNA)- Askari wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamewakamata watoto watatu waliokuwa wanapeperusha bendera ya Palestina katika Msikiti wa Al Aqsa mjini Quds(Jerusalem) Mashariki unaokaliwa kwa mabavu na utawala huo.
Habari ID: 3474703    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/21

TEHRAN (IQNA) – Klipu ya qiraa ya Qur'ani Tukufu ya mtoto Mwafrika ambayo imesambazwa katika mitandao ya kijamii imewavutia wengi nchini Iran na kote duniani.
Habari ID: 3473430    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/06

TEHRAN (IQNA) - Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limetoa indhari kuhusu uwezekano wa mamilioni ya watu wa Yemen kupoteza maisha kutokana na njaa huku Saudi Arabia ikiendeleza vita dhidi ya nchi hiyo masikini zaidi ya Kiarabu.
Habari ID: 3473420    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/04

TEHRAN (IQNA)- Mtoto wa miaka 7 kutoka mji wa Luton nchini Uingereza amehifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu ikiwa ni katika kufuata nyayo za dada yake ambaye pia alifanikiwa kufanya hiyo miaka miwili iliyopita wakati akiwa na umri huo huo.
Habari ID: 3471761    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/12/04

TEHRAN (IQNA)-Katika kuendeleza ukatili dhidi ya Waislamu, wanajeshi wa Myanmar wamemkamata mtoto aliyekuwa amehifadhi Qur'ani na kisha kumuua katika jimbo la Rakhine.
Habari ID: 3471317    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/20

TEHRAN (IQNA)-Jeshi la Utawala haramu wa Israel limeua shahidi watoto zaidi ya 3,000 Wapalestina tangu ulipoanza mwamako wa pili wa Wapalestina maarufu kama Intifadha mwezi Septemba 2000.
Habari ID: 3471004    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/02

Ubaguzi wa Trump
IQNA: Polisi nchini Marekani wamemtia mbaroni na kumfunga pingu mtoto wa miaka mitano Muirani katika hatua ya ubaguzi iliyojiri huko Uwanja wa Ndege wa Jimbo la Virginia.
Habari ID: 3470830    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/02

Mtoto mwenye umri wa miaka mitatu amefanikiwa kuhifadhi kikamilifu Qur’ani Tukufu katika mji wa Zaria kaskazini mashariki mwa Nigeria.
Habari ID: 3470503    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/08

Abdullah Abdul Quddus ambaye amehifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu ametajwa kuwa hafidh mwenye umri wa chini zaidi mjini Jeddah, Saudi Arabia.
Habari ID: 3457024    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/25

Abdulswamad bin Omar Muhammad kutoka Somalia ndie mshiriki mwenye umri mdogo zaidi katika mashindano ya kimataifa ya Qur'ani Tukufu Saudi Arabia.
Habari ID: 3446375    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/09

Sheikh Mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha Al Azhar nchini Misri amesema kufa maji mtoto mkimbizi wa miaka mitatu kutoka Syria katika ufukwe wa Bahari nchini Uturuki ni aibu kwa jamii ya mwanadamu.
Habari ID: 3358323    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/05

Baba ya mtoto Mpalestina wa miezi 18 aliyeuwawa hivi karibuni na masetla Waisraeli wenye misimamo mikali amefariki dunia kutokana na majeraha ya moto aliyopata katika tukio hilo.
Habari ID: 3340027    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/08

Kitendo cha kinyama cha Wazayuni wa Israel cha kumchoma moto hadi kufa mtoto mchanga wa Palestina mwenye umri wa miezi 18 kimeendelea kulaaniwa kote duniani.
Habari ID: 3337635    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/01

Mtoto Mwislamu mwenye umri wa miaka miwili amepigwa risasi na kuumizwa vibaya kichwani katika mji wa Bradford nchini Uingereza.
Habari ID: 3304654    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/18