IQNA

Ashura

Leo ni Siku ya Ashura, Waislamu waomboleza kuuawa shahidi Imam Hussein AS

TEHRAN (IQNA)- Leo ni Jumatatu tarehe 10 Mfunguo Nne Muharram 1444 Hijria Qamaria inayosadifiana na tarehe 8 Agosti 2022. Hii ni Siku ya Ashura ambapo...
Ukatili wa Israel

Mapigano yasitishwa Gaza, Israel yaua shahidi raia 45 Wapalestina

TEHRAN (IQNA)- Siku tatu za mashambulizi mutawalia ya utawala haramu wa Israel huko Gaza yalisababisha vifo vya raia Wapalestina 45 wakiwemo watoto 15...
Mapambano dhidi ya Israel

Kiongozi wa Hizbullah apongeza mapambano shupavu ya Wapalestina dhidi ya Israel

TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon wapigania ukombozi wa Palestina kwa kupata uthubutu na ujasiri wa kujibu jinai za utawala...
Chuki dhidi ya Uislamu

Iran yalaani vikali kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu Ujerumani

TEHRAN (IQNA)- Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali kitendo cha kichochezi cha kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu, na kutusiwa matukufu ya Kiislamu...
Habari Maalumu
Kiongozi Muadhamu ashiriki katika maombolezo mkesha wa Tasua ya Imam Imam Hussein AS
Maombolezo ya Imam Hussein AS

Kiongozi Muadhamu ashiriki katika maombolezo mkesha wa Tasua ya Imam Imam Hussein AS

TEHRAN (IQNA)- Usiku wa kuamkia leo umesadifiana na usiku wa mwezi tisa Mfunguo Nne, Muharram, siku ambayo ni maarufu kwa jina la Tasua ya Imam Hussein...
07 Aug 2022, 15:32
Utawala katili wa Israel umewaua watoto 6 Wapalestina katika hujuma Gaza
Jinai za Israel

Utawala katili wa Israel umewaua watoto 6 Wapalestina katika hujuma Gaza

TEHRAN (IQNA)- Idadi ya Wapalestina waliouliwa shahidi katika jinai zinazoendelea za utawala wa Kizayuni huko Gaza imeongezeka na kufikia watu 24 wakiwemo...
07 Aug 2022, 15:18
Hatua za kukabiliana na ongezeko la chuki dhidi ya Uislamu Canada
Chuki dhidi ya Uislamu

Hatua za kukabiliana na ongezeko la chuki dhidi ya Uislamu Canada

TEHRAN (IQNA)- Waislamu wengi wameuawa katika mashambulizi ya chuki dhidi ya Uislamu nchini Canada (Kanada) kuliko nchi nyingine yoyote ya kundi la G-7...
07 Aug 2022, 16:57
Walowezi wa Kizayuni wavamia Msikiti wa Al-Aqsa wakati wa hujuma dhidi ya Gaza
Jinai za Israel

Walowezi wa Kizayuni wavamia Msikiti wa Al-Aqsa wakati wa hujuma dhidi ya Gaza

TEHRAN (IQNA) – Idadi kubwa ya walowezi wa Kizayuni wenye itikadi kali waliuvamia na kuuvunjia heshima Msikiti wa Al-Aqsa mjini Quds (Jerusalem) mapema...
07 Aug 2022, 17:17
Mapambano ya Ashura  yanahamasisha ukombozi
Ashura

Mapambano ya Ashura yanahamasisha ukombozi

TEHRAN (IQNA) – Mwamko Ashura ni kielelezo cha kipekee cha mapambano dhidi ya mifumo mbovu ya kisiasa na njia mbovu za utawala.
06 Aug 2022, 23:21
Jinai ya utawala dhalimu wa Israel huko Gaza yaendelea kulaaniwa
Ukatili wa Israel

Jinai ya utawala dhalimu wa Israel huko Gaza yaendelea kulaaniwa

TEHRAN (IQNA)-Harakati ya Jihad Islami ya Palestina imevurumisha makombora zaidi ya 100 katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu zilizopachikwa jina la Israel...
06 Aug 2022, 21:51
Magaidi wa ISIS watekeleza hujuma dhidi ya Waislamu wa Kishia nchini Afghanistan
Ugaidi wa wakufurushaji

Magaidi wa ISIS watekeleza hujuma dhidi ya Waislamu wa Kishia nchini Afghanistan

TEHRAN (IQNA)- Kundi la kigaidi la Daesh au kwa jina jingine ISIS, limekiri kuhusika na mlipuko uliotokea jana Ijumaa huko Kabul, mji mkuu wa Afghanistan,...
06 Aug 2022, 21:37
Msikiti wa New York kuimarisha usalama baada ya shambulio
Chuki dhidi ya Uislamu

Msikiti wa New York kuimarisha usalama baada ya shambulio

TEHRAN (IQNA) – Msikiti mmoja huko Paterson, jimbo la New York Marekani, umelengwa na wahalifu wenye chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu mapema wiki hii.
06 Aug 2022, 23:53
Mijumuiko ya 'Vichanga Vinyonyavyo vya Imam Hussein (AS)' imefanyika leo
Maombolezo ya Imam Hussein AS

Mijumuiko ya 'Vichanga Vinyonyavyo vya Imam Hussein (AS)' imefanyika leo

TEHRAN (IQNA0- Mijumuiko maalumu wa 'Vichanga Vinyonyavyo vya Imam Hussein (AS)' Imefanyika leo sambamba na Ijumaa ya kwanza ya mwezi wa Muharram katika...
05 Aug 2022, 18:59
Mapambano, Subira na Istiqama ni nukta msingi za fadhila za Imam Hussein AS
Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya Tehran

Mapambano, Subira na Istiqama ni nukta msingi za fadhila za Imam Hussein AS

TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya Tehran amesema fadhila za msingi za harakati ya Imam Hussein AS zilikuwa ni mapambano au muqawama, subira...
05 Aug 2022, 18:46
Waislamu wanaamini mapambano ndio njia kuu na ya msingi ya kukabiliana na Israel
Rais wa Iran katika mkutano na mkuu wa Jihadul-Islami

Waislamu wanaamini mapambano ndio njia kuu na ya msingi ya kukabiliana na Israel

TEHRAN (IQNA)- Rais Ebrahim Raisi amesema, leo wananchi wa mataifa ya Kiislamu ya eneo wanauchukia mno utawala ghasibu wa Kizayuni na wanaamini kuwa Muqawama...
05 Aug 2022, 19:18
Ushahidi kuhusu namna Jeshi la Myanmar lilivyopanga kuwaangamiza Waislamu
Jinai za Myamar

Ushahidi kuhusu namna Jeshi la Myanmar lilivyopanga kuwaangamiza Waislamu

TEHRAN (IQNA) – Nyaraka mpya zinaonyesha jinsi vikosi vya jeshi la Myanmar vilipanga kuwafukuza kwa lazima Waislamu walio wachache wa nchi hiyo kutoka...
05 Aug 2022, 21:03
UN yailaumu Ufaransa kwa kwabagua wanawake Waislamu
Waislamu Ufaransa

UN yailaumu Ufaransa kwa kwabagua wanawake Waislamu

TEHRAN (IQNA) – Ufaransa ilimbagua mwanamke Mwislamu ambaye alizuiwa kuhudhuria mafunzo ya ufundi stadi katika shule ya umma akiwa amevalia hijabu yake,...
04 Aug 2022, 18:23
Bahrain yaanzisha msako dhidi ya Waislamu wa madhehebu ya Shia Ashura ikikaribia
Hali ya Waislamu Bahrain

Bahrain yaanzisha msako dhidi ya Waislamu wa madhehebu ya Shia Ashura ikikaribia

TEHRAN (IQNA) – Utawala wa kiimla wa Bahrain umeshadidisha ukandamizaji wake wa kikatili dhidi ya Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini humo kabla ya Siku...
04 Aug 2022, 11:18
Mjukuu wa Mandela asema Mapinduzi ya Kiislamu yalichangia ukombozi Afrika Kusini
Iran na Afrika

Mjukuu wa Mandela asema Mapinduzi ya Kiislamu yalichangia ukombozi Afrika Kusini

TEHRAN (IQNA)- Mjukuu wa rais wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson Mandela amesema Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yanatoa ilhamu na motisha kwa taifa hilo...
04 Aug 2022, 11:02
Picha‎ - Filamu‎